Association for the Protection of Sea-Birds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi ya kulinda ndege -bahari ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 1860[1] na Mchungaji Henry Fredrick Barnes-Lawrence kama wajibu muhimu ndani ya Bridlington ili kuzuia michezo inayohusisha kuwaua ndege- bahari Kitendo hicho kimezuiwa katika sheria ya Uhifadhi wa ndege-bahari mwaka 1869[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The National Archives. The Discovery Service (en-GB). discovery.nationalarchives.gov.uk. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  2. SEA BIRDS' PRESERVATION BILL. (Hansard, 4 May 1869). hansard.millbanksystems.com. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.