Association des Guides du Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Association des Guides du Burundi (Kiingereza Guide Association of Burundi (AGB ) ni chama cha Skauti wa kike nchini Burundi, chama hiki kilianzishwa mwaka 1954, Kufikia mwaka 2018 kulikua na wanachama 12,350.[1] , mwaka 1972, chama hiki kilitambuliwa rasmi na Chama cha Skauti duniani na mwaka 2008 kilitambuliwa rasmi na chama cha Skauti Duniani. Chama hiki kinashiriki katika kampeni za kujenga uelewa juu ya magonjwa ya Ukimwi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Member Organisation - Burundi. Iliwekwa mnamo January 31, 2022.