Arthur Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Arthur Johnson akichezea timu ya Real Madrid mwaka 1902.

Arthur Johnson (aliyezaliwa tarehe 12 Aprili 1879) alikuwa mchezaji wa soka maarufu kutoka Uingereza.

Katika siku zake za kucheza alikuwa mshambuliaji wa kati wa timu ya Real Madrid. Pia alicheza kama golikipa mwanzoni mwa kazi yake, mechi muhimu zaidi ilikuwa katika fainali ya Copa del Rey ya mwaka 1903.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.