Nenda kwa yaliyomo

Armando Sardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Armando Sardi(15 Septemba 194022 Desemba 2023)alikuwa mwanariadha wa Italia ambae alishiriki katika michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1960.[1]Sardi alifariki mnamo 22 Desemba 2023, akiwa na umri wa miaka 83.[2]

  1. Kigezo:Cite Sports-Reference
  2. Monza dice addio ad Armando Sardi: chi era lo sprinter amico di Livio Berruti Kigezo:In lang
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armando Sardi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.