Apaye
Mandhari
Apaye (katika Kiingereza: A Mother's Love) ni filamu ya kuigiza ya biografia ya Nigeria iliyoongozwa na Desmond Elliot na nyota wa filamu hiyo ni Clarion Chukwura, Kanayo O. Kanayo, Belinda Effah, na Mbong Amata.
Ilijitokeza kwenye Sinema ya Silverbird, Kisiwa cha Victoria, Lagos mnamo Machi 7 2014. Jukumu la ucheshi Yepayeye,hadithi ya maisha na mapambano ya Yepayeye mama wa watoto sita asie na mume anaepambana na changamoto nyingi katika maisha yake na watoto wake. [1]
Wahusika
[hariri | hariri chanzo]- Kanayo O. Kanayo kama Emman
- Clarion Chukwura kama Yepayeye
- Belinda Effah kama Yepayeye Kijana
- Mbong Amata kama Suam
- Caro Michael kama Yepayeye Mdogo
Mapokezi
[hariri | hariri chanzo]Nollywood Reinvented imeipa filamu hii asilimia 53% na kusifiwa kuwa ni filamu iliyokuwa na muziki na kuongozwa vizuri na filamu yenye mafanikio [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Apaye film Premiere". BellaNaija. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Apaye on Nollywood Reinvented". nollywoodreinvented.com. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Apaye kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |