Nenda kwa yaliyomo

Belinda Effah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Belinda Effah

Amezaliwa Belinda Effah
14 Desemba 1989 (1989-12-14) (umri 34)
Cross River State, Nigeria
Kazi yake Muigizaji mtangazaji
Miaka ya kazi 2005 - hadi leo

Belinda Effah (alizaliwa 14 Desemba 1989) mwigizaji wa filamu na mtangazaji wa Nigeria, na mshindi wa tuzo ya 9 ya African Movie Academy Award.[1]

Maisha ya awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Effah alizaliwa mwaka 1989 kusini mwa nchini Nigeria.[2]; alipata elimu ya msingi na upili katika shule ya Hillside International Nursery & Primary School na Nigerian Navy Secondary School, na baadaye kujiunga na chuo kikuu cha University of Calabar.[3]Kulingana na mahojiano yake na gazeti la The Punch alikiri kuwa asili ya nidhamu ya baba yake kwa watoto wake 14 imemsaidia kwenye kumnoa katika kazi yake.

Nollywood

[hariri | hariri chanzo]

Belinda alitengeneza mchezo wake wa kwanza katika runinga mwaka 2005 iliyoitwa Shallow Waters, nakupumzika kidogo huku akitengeneza vipindi vya runinga cha Next Movie Star. .[4][5]

Alianza kutangaza katika kituo cha runinga cha Soundcity TV,baadae aliacha kazi ya kuajiriwa kama mtangazaji na kuamua kuanzisha kipindi chake binafsi cha Lunch Break with Belinda.[6][7]

  1. "Working with Majid Michel was a Revelation for me". nigeriafilms.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "PHOTOS: Nollywood Actress Belinda Effah Poses In Wedding Dress". News.naij.com. 2014-04-16. Iliwekwa mnamo 2014-04-20.
  3. "I Like to see heads turn when I step out". dailyindependentnig.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "It's been Tough being an actress". Tribune Nigeria Newspaper. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Messing around in Nollywood is not for me". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "I cant stop people from making passes at me - Belinda Effah". dailyindependentng.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "I can marry an Actor". punchng.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Belinda Effah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.