Nenda kwa yaliyomo

Anne Marthe Mvoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anne Marthe Mvoto ni mwanahabari na mwanasiasa wa Kameruni, pia ni mwanamke wa pili kuatangaza habari za runinga baada ya Dénise Epoté.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Anne Marthe Mvoto anatokea Atok, katika kijiji cha jenerali Angouand, kilichopo kati ya Abong Mbang na Ayos. [1] [2]

  1. "journalisme politique". bernardbangda.centerblog.net. Iliwekwa mnamo 2023-05-30.
  2. Stephanie (2020-06-17). "Anne Marthe Mvoto". Médias Du Cameroun (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-05-05.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Marthe Mvoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.