Nenda kwa yaliyomo

Denise Epoté

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
{{{jina}}}
[[Image:{{{picha}}}|220px|{{{maelezo_ya_picha}}}]]
{{{maelezo_ya_picha}}}
Jina la kuzaliwa Epote
Alizaliwa {{{alizaliwa}}}
Kafariki {{{kafariki}}}
Jina lingine Jean Claude epote
Kazi yake mtangazaji
Ndoa aliolewa na Mr. Durand ambae waliachana baadae
Rafiki {{{rafiki}}}
Watoto {{{watoto}}}
Wazazi {{{wazazi}}}
Mahusiano {{{mahusiano}}}

Denise Laurence Djengué Epoté[1] (alizaliwa Nkongsamba, 22 Novemba 1954) ni Mkameruni na mkuu wa watangazaji Afrika katika televisheni ya French network,TV5 Monde.

Ni mwanamke wa kwanza kutangaza habari kwa lugha ya Kifaransa kwenye televisheni ya taifa, nchini Kameruni CTV, ambayo baadae ilikuja kujulikana kama Cameroon Radio Television CRTV.

Mnamo Januari 2022, Mwishoni mwa bodi ya wakurugenzi ya kikundi cha waandishi wa habari, Denise Epoté aliteuliwa mara tatu kama Mkurugenzi wa Uuzaji wa TV5Monde, PCA ya TV5Monde USA na PCA ya TV5Monde Latin America, akichukua ofisi mnamo Februari 1, 2022.[2]

Baba yake na Jean Claude Epoté, alikuwa mtumishi wa umma na mtawala wa kifedha, na mama yake Mizpah Florina Mbella, alifanya kazi kama mtunza hazina wa "Douala". Ambao wote hivi sasa wamestaafu.[1]

Alikuwa mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wawili wa kike na wakiume wa wili.Baada ya elimu yake ya sekondari katika shule ya Lycée Général Leclerc mji wa Yaounde,Epoté alichaguliwa kujiunga na kusomea uandishi wa habari katika chuo cha kimataifa cha uandishi wa habari mjini Yaoundé, ambacho kinajulikana kama Graduate School of Science na Yaounde Techniques of Information and Communication.[3] Mnamo mwaka 1991, aliolewa na Mr.Durand aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kazi za muhimu,ambapo walikuja kuachana baadae.[4]

Mwaka 1981, alianza kazi ya uandishi wa habari katika radio ya Kameruni mwaka 1985, alikuwa mwanamke wa kwanza mtangazaji katika mzunguko wa waandishi wa habari nchini Kameruni.Akiwa anatumia lugha ya kiingereza na mtangazaji mwenzake Eric Chinje, wawili hao walikuwa wakisoma habari kwa lugha ya kiingereza kuanzia mwaka 1985 hadi 1993.[5] Aliachana na Radio ya CRTV mwaka 1993,[5] na kuhamia TV5Monde na Radio ya kimataifa ya Ufaransa.[6]

Februari mwaka 2010, Epoté alitunukiwa usiku wa nne wa wajenzi.[5]

Matangazo

[hariri | hariri chanzo]

Tangu mwaka 1999, Epoté amekuwa mtangazaji mkuu wa kipindi cha wiki kinachoitwa "if you tell me the whole truth". kipindi hicho kilikuwa kimewalenga watu wa afrika waliokuwa na utayari wa malengo ya baadae ya Afrika.[7]

Mwaka 2009, walisherekea miaka kumi ya kipindi hicho, Epoté alifanya kipindi na Rais wa Mali kipindi hicho Amadou Toumani Toure.Tangu hapo Epoté alifanya mahojiano na watu wengi wenye kazi tofauti wakiwemo Andry Rajoelina, Omar Bongo Ondimba, James Alix Michel, General Mohamed Ould Abdel Aziz, na Aminata Traoré.[8]

Ni kiongozi wa watangazaji katika Televisheni ya TV5Monde, na ni mtangazaji mkuu wa kipindi ambacho kinawaruhusu wahandishi wa habari kutoka Ufaransa kuzungumza habari za bara la Africa.[9]

Kila jumapili, amekuwa akitoa mchango wake na malengo yake ya habari za Afrika, kwa wiki zilizo pita, ambayo inafahamika kama Wiki ya Denise Epoté, kwenye radio ya France Internationale.[10]

Mwaka 2014, Epoté alitajwa na shirika la Forbes miongoni mwa watu maarufu kati ya watu mia moja katika bara la Afrika.

  1. 1.0 1.1 "Cameroon-Info.Net - Jardin secret: Denise Epoté Durand, journaliste". Cameroon-info.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-28. Iliwekwa mnamo 2016-01-22. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "Denise Epoté prend du galon au sein de TV5 Monde". Financial Afrik. Iliwekwa mnamo 2022-01-12.
  3. Ekoulle, Flore. "Cameroun Online - Denise Epoté : un talent de femme". Cameroun-online.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-03. Iliwekwa mnamo 2016-01-28. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help).
  4. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-31. Iliwekwa mnamo 2016-01-30.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  5. 5.0 5.1 5.2 "DENISE EPOTE: "Les femmes doivent savoir dire non"". Leral.net S'informer en temps réel. Iliwekwa mnamo 2016-01-28.
  6. "Denise Epoté / France Inter". France Inter. Iliwekwa mnamo 2016-01-22..
  7. "TV5MONDE : accueil". TV5MONDE. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-31. Iliwekwa mnamo 2016-01-28..
  8. "JournalDuMali.com: Denise Epoté Durand a interviewé ATT à Bamako". Journaldumali.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-17. Iliwekwa mnamo 2016-01-28..
  9. "TV5MONDE Afrique - L'actualité de l'Afrique en tv video". Tv5monde.com. Iliwekwa mnamo 2016-01-28..
  10. "La semaine de RFI". rfi.fr. Iliwekwa mnamo 2016-01-28..
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denise Epoté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.