Anne-Marie Comparini
Mandhari
Anne-Marie Comparini (11 Julai 1947 – 5 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa wa Ufaransa. Alikuwa Mbunge na Rais wa Baraza la kanda la Rhône-Alpes. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |