Anna Rita Del Piano
Mandhari
| Anna Rita Del Piano | |
|---|---|
| | |
| Jina la kuzaliwa | Anna Rita Viapiano. |
| Alizaliwa | 26 Julai 1966, Cassano delle Murge, Apulia, Italia |
Anna Rita Del Piano (Anna Rita Viapiano amezaliwa Cassano delle Murge, 26 Julai 1966) ni mwigizaji na mwanamitindo kutoka nchini Italia.