Anna Filbey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anna Marie Filbey (alizaliwa Oktoba 11, 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama kiungo wa kati wa timu ya taifa ya Wales pamoja na klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi ya FA Women's Championship . Ameelezwa na Tottenham kama "kiungo wa kati shujaa na mwenye kipaji cha kiufundi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tottenhamhotspur.com/teams/tottenham-hotspur-women/players/anna-filbey/ https://en.wikipedia.org/wiki/Tottenham_Hotspur_F.C.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Filbey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.