Anna Blässe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anna Blässe
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaUjerumani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani Hariri
Nchi anayoitumikiaUjerumani Hariri
Jina halisiAnna Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa27 Februari 1987 Hariri
Mahali alipozaliwaWeimar Hariri
MwenziLara Dickenmann Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKijerumani Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi2004 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Tuzo iliyopokelewaFritz Walter Medal Hariri
Jessie Ashley

Anna Blässe (alizaliwa 27 Februari 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg. Hapo awali alikua akicheza katika klabu ya USV Jena pamoja na klabu ya Hamburger SV.[1]

Alishinda mashindano kombe la dunia chini ya umri wa miaka 19 mnamo mwaka 2004 na mashindano ya Ulaya ya chini ya umri wa miaka 19 (U-19) mnamo mwaka 2006. [2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Blässe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.