Anna Anvegård

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Soka Anna Anvegård
Mchezaji wa Soka Anna Anvegård

Anna Anvegård (amezaliwa 10 Mei 1997) ni mchezaji wa soka wa Uswidi ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu Everton F.C. na timu ya taifa ya Uswidi.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wayback Machine. web.archive.org (2016-11-04). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 2021-11-23.
  2. Anna Anvegård - Spelarstatistik - Svensk fotboll (sv). www.svenskfotboll.se.. Iliwekwa mnamo 2021-11-23.
  3. Nyheter, S. V. T.; Magnusson, Peter (2018-06-01), "Anna Anvegård – en fotbollsresa utan motgångar", SVT Nyheter (in Swedish), retrieved 2021-12-03