Andrzej Duda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrzej Sebastian Duda (amezaliwa 16 Mei 1972) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Poland ambaye amekuwa rais wa Poland tangu tarehe 6 Agosti 2015.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Andrzej Duda Elected Poland's New President, Incumbent Bronislaw Komorowski Concedes Defeat". The Huffington Post. Iliwekwa mnamo 25 May 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrzej Duda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.