Nenda kwa yaliyomo

Andrew Chenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrew John Chenge (amezaliwa 24 Desemba 1948) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bariadi kwa miaka 20152020. [1][2]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 16 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.jamiiforums.com/threads/mfahamu-mtanzania-andrew-chenge-ambaye-huwa-anahusishwa-kwenye-kashfa-nyingi.1267083/
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Chenge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.