Nenda kwa yaliyomo

Anass Essayi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anass Essayi (kwa Kiarabu: أنس الساعي; alizaliwa 18 Mei 2001) ni mwanariadha kutoka Moroko.[1][2][3]

Aliwahi kushinda medali ya fedha katika mbio ya mita 1,500 katika michezo ya Vijana ya Afrika huko Algiers mwaka 2018,ikiwemo michezo ya olimpiki ya vijana ya mwaka huo huo 2018 ambayo ilifanyika Buenos Aires. Baadae aliwahi kushinda pia medali ya shaba katika mita 1,500 kwenye Mashindano ya Riadha Pan Arab huko Rades mwaka 2021 .[4]

Essayi aliiwakilisha Moroko katika michuano ya Olimpiki ya Japani ya mwaka 2020 ambapo alishindana katika mashindano ya wanaume Kwenye mita 1500.

Kwasasa anasomea Biashara katika chuo cha Al Akhawayn.[5]

  1. "Athletics ESSAYI Anass - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-28. Iliwekwa mnamo 2021-09-28.
  2. "Anass ESSAYI | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-28.
  3. "Anas ESSAYI". www.cnom.org.ma (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-09-28.
  4. "Athlétisme - Anass Essayi (Maroc)". www.les-sports.info. Iliwekwa mnamo 2021-09-28.
  5. "The student, Anass Essayi qualified for the Tokyo Olympics". New in 24 Sport English (kwa American English). 2021-07-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-29. Iliwekwa mnamo 2021-09-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anass Essayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.