Anania na Safira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kifo cha Anania, mchoro wa Raphael (1515).

Anania na mke wake Safira walikuwa Wakristo wa Yerusalemu katika karne ya 1.

Kadiri ya sura ya 5 ya kitabu cha Matendo ya Mitume (katika Agano Jipya la Biblia ya Kikristo) walikufa ghafla, mmoja baada ya mwingine, kisha kusema uongo juu ya kiasi walichopata kwa kuuza shamba lao kwa faida ya Kanisa.

Bible.malmesbury.arp.jpg Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anania na Safira kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.