Amine Bassi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amine Bassi

Amine Bassi (alizaliwa 27 Novemba 1997) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Soka ya Houston Dynamo. Amine ni Mzaliwa wa Ufaransa, akiwakilisha Morocco kimataifa.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Nancy Bassi alianza taaluma yake na klabu ya AS Nancy Lorraine, akajiunga na timu ya vijana ya Épinal mnamo 2015. [1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Bassi alizaliwa Ufaransa na ana asili ya Morocco. [2] Alianza kwa mara ya kwanza katika kikosi cha vijana wa umri chini ya miaka U21 cha Morocco katika kipigo cha kirafiki cha 4-0 kutoka kwa Italia U21 mnamo tarehe 11 Oktoba 2017.

Takwimu Za Ushiriki[hariri | hariri chanzo]

Hadi mechi iliyochezwa tarehe 10 Aprili 2023[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Info FM : à la découverte d’Amine Bassi, milieu prometteur de l’AS Nancy Lorraine". 
  2. "Morocco - A. Bassi - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". us.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-04-06. 
  3. "Amine Bassi Stats, Goals, Records, Assists, Cups and more". FBref.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-06. 
  4. "Amine Bassi". Major League Soccer. Iliwekwa mnamo 6 April 2023.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amine Bassi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.