Amina Ally

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Amina Ally
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 23 Mei 2001 (2001-05-23) (umri 22)
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.60 m (5 ft 3 in)
Nafasi anayochezea Kiungo Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga SC Princes
Namba 4
Klabu za vijana
Simba Queens 2017-2019

Yanga SC Princes 2019-

Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda

Amina Ally Bilali (alizaliwa 23 Mei 2001) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu, akiichezea klabu ya wanawake ya Yanga SC Princess ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Ally kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.