Nenda kwa yaliyomo

Amed Elna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amed Elna (alizaliwa 21 Disemba 1999) ni mwanariadha wa Olimpiki kutoka Komoro.[1][2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Elna amesomea sheria katika Chuo kikuu cha Sorbonne, Paris.[3]

Maisha ya Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Ameshindana riadha katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2020 – Mashindano ya wanawake kwenye mita 100 na kumaliza nafasi ya nane katika duru ya kwanza, akikimbia kwa muda wa dakika 14.30 ambayo ilikuwa rekodi nzuri sana kwake.[4]


  1. "Flag bearers at 2020 Summer Olympics". Olympedia. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "2020 Summer Olympics". Olympedia. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Joint Statement from the International Olympic Committee and the Tokyo 2020 Organising Committee". Olympics.com. 24 Machi 2020. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Comoros at 2020 Summer Olympics". Olympedia. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amed Elna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.