Ambra Gambale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ambra Gambale ni msanii na mbunifu wa samani wa Afrika Kusini. Mafuvu yake ya kichwa yaliyotengenezwa na mafuvu ya wanyama, chuma na madini zimekua zikioneshwa na kuuzwa katika jiji la London , katika maeneo ya Notting hill na Dover street, Mayfair.[1] Samani zake zinatengenezwa kwa mikono na zinatengenezwa kwa kutumia dhahabu na almasi. Wanunuzi wake ni pamoja na mshindi wa Pulitzer Lauren Beukes. [2]

Sanaa yake ya fuvu la mamba la shaba iliyotengenezwa kwa almasi ilionekana kwenye jarida la Vogue ya Brazil na ilikua na thamani ya Euro milioni moja.[3] Fuvu hili la kichwa pamoja na samani zake ziliuzwa Wolf & Badger pale Mayfair na Merchants wa Long, Cape town.[4][5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nechama Brodie, "Things of beauty: Ambra Gambale’s Skullchemy range," Mail & Guardian, 24 May 2013
  2. "Ambra Fine Jewellery is "exquisitely dark" says Lauren Beukes," Ambra Fine Jewellery. 1 November 2013
  3. Natalia Martucci, "Quando a natureza invade a casa," Casa Vogue - Brazil, 16 May 2014
  4. "Ambra Fine Jewellery | Design Indaba". Design Indaba. Iliwekwa mnamo 2015-07-10. 
  5. Matthew Shave, "Around the World in 80 Jewellers," Conde Nast Traveller, pg. 21, May 2015
  6. "Bits & Pieces", Indive - SA Express, p. 19. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ambra Gambale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.