Nenda kwa yaliyomo

Amber Barrett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amber Barrett
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaEire Hariri
Jina halisiAmber Hariri
Jina la familiaBarrett Hariri
Tarehe ya kuzaliwa16 Januari 1996 Hariri
Mahali alipozaliwaMilford Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Mwanachama wa timu ya michezo1. FC Köln Frauen Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Amber Barrett (alizaliwa 16 Januari 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ireland ambaye anacheza katika klabu ya wanawake ya FC Köln nchini Ujerumani. Alicheza kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland mnamo Septemba 2017. Akiwa kama mshambuliaji mzuri, Barrett alikuwa Mchezaji wa WNL wa msimu mwaka 2017 na mchezaji bora mwaka 2016, 2017 na 2018.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amber Barrett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.