Nenda kwa yaliyomo

Ally Abdulla Ally Saleh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ally Abdulla Ally Saleh ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Malindi kwa miaka 20152020.

    Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Ally Abdulla Ally Saleh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.