All American Boys
Mandhari
All American Boys (yaani: Wavulana Wote wa Marekani) ni riwaya ya watu wazima iliyochapishwa mnamo 2015 na Atheneum, iliyoandikwa na Jason Reynolds na Brendan Kiely. [1].
Kitabu hiki kinasimulia hadithi ya wavulana wawili wa umri wa kubalehe, Rashad Butler na Quinn Collins, wanavyoshughulikia ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi katika jamii yao[2]. Riwaya hii imepata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, na kuwa kitabu cha tatu kilichopigwa marufuku zaidi kwa mwaka 2020, kwa sababu ya kujumuisha jumbe za kupinga polisi, pombe, matumizi ya dawa za kulevya na lugha chafu[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "'All American Boys,' by Jason Reynolds and Brendan Kiely - The New York Times". web.archive.org. 2018-04-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-04-18.
- ↑ Ebarvia, Tricia (2021-03). "Starting With Self: Identity Work and Anti‐Racist Literacy Practices". Journal of Adolescent & Adult Literacy. 64 (5): 581–584. doi:10.1002/jaal.1140. ISSN 1081-3004.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ admin (2013-03-26). "Top 10 Most Challenged Books Lists". Advocacy, Legislation & Issues (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-18.
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu All American Boys kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |