Alice Constance Austin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alice Constance Austin (alizaliwa na Joseph B. na Sarah L. Austin mwaka 1862 huko Chicago, Illinois.[1]) alikuwa mwanaharakati, msanifu majengo, na mbunifu.[2]

Pendekezo lake maarufu huko Llano del Rio, ingawa halijatekelezwa kikamilifu, liliathiri sana miundo ya baadaye ya jiji na mpango wa usanifu. Mnamo mwaka1935, Austin alichapisha kitabu chake kilichoitwa The Next Step kilichoelezea jinsi ya kupanga urembo, faraja na amani yenye kupunguza maumivu, na mambo yasiyo na maana.,[3] kujadili, matatizo na mradi wa Llano del Rio, na baadhi ya mawazo yake mengine kuhusu kupanga. Juhudi zake za utetezi wa haki za wanawake katika historia ya mipango miji zilifikia hatua ya kuathiri maendeleo ya masuala ya kisasa kama vile kipato cha chini, usalama wa kijamii, gharama ya makazi, na huduma ya afya.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Constance Austin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.