Nenda kwa yaliyomo

Ali Rasso Dido

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Rasso Dido (alizaliwa 23 Oktoba 1961) ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa chama cha jamhuri ya muungano katika Bunge la Taifa la Kenya kwa eneo bunge la Saku tangu machi 2013.[1] Dido alisoma katika chuo cha King's London (MA mafunzo ya ulinzi, 1999) chuo kikuu huria, (MBA, 2003) na chuo kikuu cha Nairobi.

  1. "Uhuru kicks off Africa's biggest wind power project in Marsabit". CAPITALNEWS. 2 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 8 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)