Nenda kwa yaliyomo

Ali Hassan Omar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Hassan Omar ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge w [[Jang'ombe] kwa miaka 20152020. Mwaka 2015-2018 alikuwa mwanachama wa kamati ya bajeti.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Hassan Omar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.