Nenda kwa yaliyomo

Ali Brakchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali "Alain" Brakchi (26 Februari 193415 Januari 2021) alikuwa mwanariadha kutoka Ufaransa aliyezaliwa Sidi Aïch, Algeria.

Alishiriki zaidi katika mbio za kuruka mbali kwa wanaume. Aliiwakilisha Ufaransa katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 1960 iliyofanyika Roma, Italia.[1] Brakchi alishinda medali ya dhahabu katika mbio za kuruka mbali akiiwakilisha Algeria kwenye mashindano ya GANEFO mwaka 1963.[2]

  1. https://web.archive.org/web/20200417193502/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/br/ali-brakchi-1.html
  2. GANEFO Games. GBR Athletics. Retrieved on 2015-01-14.