Alfred Nenguwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfred Nenguwo ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Afro-jazz aliyeshinda tuzo nyingi nchini Zimbabwe.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuimba katika kwaya ya shule na baadaye kwaya ya kanisa lake, Nenguwo alijiunga na kikundi kinachoitwa Afro-Different mnamo mwaka 2008.[1] Mwaka 2013 alishirikiana na mwimbaji Millicent Muchati na kutengeneza albamu ya African Sun. Albamu hiyo ilishinda tuzo ya ZIMA Awards mara tatu kama wageni bora waimbaji mnamo mwaka 2014.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Antionio, Winstone (11 July 2014). Afro-jazz sensation born from Mbare. NewsDay Zimbabwe.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Nenguwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.