Nenda kwa yaliyomo

Alexander Meyer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexander Niklas Meyer-Schade (alizaliwa 13 Aprili 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Alexander Meyer". www.bvb.de. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Meyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.