Alex Tolgos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alex Tolgos mnamo mwaka 2013

Alex Tolgos (alizaliwa 6 mei 1980,kenya) ni mhandisi wa Kenya na mwanasiasa ambaye kwa sasa ni gavana wa Kaunti ya Elgeyo Marakwet. Alichaguliwa kuwa gavana wa kwanza wa kaunti tarehe 4 Machi 2013, na alichaguliwa tena tarehe 8 Agosti 2017, kutumikia awamu ya pili na ya mwisho kama gavana.

Maisha na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Tolgos alizaliwa 6 Mei 1980 mjini Elgeyo-Marakwet nchini Kenya.

Alihudhuria Shule ya sekondari ya St Patrick's (Iten, Kenya).

Alihitimu Chuo Kikuu cha Nairobi na shahada sayansi ya uhandisi wa mitambo[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Department, ICT. The Governor. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-10-19. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Tolgos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.