Nenda kwa yaliyomo

Alex Bell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Alex Bell

Alexander Bell (1882 - 30 Novemba 1934) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu. Katika kutekeleza majukumu yake ya mpira alicheza sana nchini Uingereza, ambapo alicheza katika klabu ya Manchester United na Blackburn Rovers , alikuwa mzaliwa wa Afrika Kusini katika jiji la Capetown aliyelelewa nchini Uskoti. Alionekana mara kadhaa akichezea Timu ya Taifa ya Uskoti.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Bell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.