Alberta (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberta (jina la kuzaliwa Alberta Sheriff ) [1] ni mwimbaji kutoka Sierra Leone, ambaye alishiriki mara mbili katika uteuzi wa awali wa shindano la wimbo wa Eurovision la Uingereza ( United Kingdom's Eurovision Song Contest) na shindano la nyimbo bora la Uingereza (The Great British Song Contest), na kumaliza katika nafasi ya pili katika mashindano yote mawili.

Wimbo wake wa "Yoyo Boy", ulifikia kilele cha 48 katika UK Singles Chart Desemba mnamo mwaka 1998.


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (toleo la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 18. ISBN 1-904994-10-5. 
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberta (mwimbaji) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.