Albert Nzula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Albert Nzula (alizaliwa 1905- 17 Januari 1934) alikuwa mwanasiasa na mwanaharakati wa Afrika Kusini. Nzula alikuwa katibu mkuu wa kwanza mweusi wa Chama cha Kikomunisti cha Afrika Kusini . [1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Nzula alizaliwa Rouxville katika Koloni ya Mto Orange (ambayo kwa sasa inajulikana kama jimbo la Free State ) mwaka wa 1905. Alizaliwa katika kabila la Nguni lakini familia yake ililelewa katika tamaduni ya Wasotho . Alikuwa mwanafunzi katika Taasisi ya Bensonvale huko Herschel kabla ya kukamilisha masomo yake huko Lovedale ambapo alihitimu kama mwalimu. Baada ya kuhitimu, alihamia Aliwal Kaskazini na hapo ndipo taaluma yake ya kisiasa ilianza .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Albert Nzula". South African Communist Party. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 May 2016. Iliwekwa mnamo 18 April 2016.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Nzula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.