Albert Ntabaliba Obama
Jump to navigation
Jump to search
Albert Ntabaliba Obama ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe kwa miaka 2015 – 2020. [1], mwaka 2010-2012 alikuwa mwanachama wa kamati ya huduma za jamii za bunge. [2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |