Albert Adomah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Albert Adomah
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaGhana Hariri
Jina katika lugha mamaAlbert Adomah Hariri
Jina la kuzaliwaAlbert Danquah Adomah Hariri
Jina halisiAlbert Hariri
Jina la familiaAdomah Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa13 Desemba 1987 Hariri
Mahali alipozaliwaLondon Hariri
Lugha ya asiliKiingereza Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuwing half, Forward (association football) Hariri
AlisomaCollege of North West London Hariri
Muda wa kazi2005 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji27 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, 2013 Africa Cup of Nations Hariri
LigiLigi Kuu Uingereza Hariri

Albert Danquah Adomah (alizaliwa 13 Desemba 1987) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza katika klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Ghana.

Alicheza katika klabu mbalimbali kama Harrow Borough, Barnet, Bristol City na Middlesbrough, ambaye alicheza nayo hadi katika Ligi Kuu.

Aston Villa[hariri | hariri chanzo]

Adomah alijiunga na Aston Villa siku ya mwisho ya uhamisho kwa ada isiyojulikana, 31 Agosti 2016. Alifunga goli lake la kwanza kwa Aston Villa kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Cardiff City mwezi Novemba 26, 2016.

Alifunga magoli mawili kwenye mechi ambayo walisuluhu kwa magoli ya 2-2 nyumbani dhidi ya klabu ya Preston North End.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Adomah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.