Alan Hodgkin
Mandhari
(Elekezwa kutoka Alan Lloyd Hodgkin)
Alan Lloyd Hodgkin (5 Februari 1914 – 20 Desemba 1998) alikuwa mwanafizikia wa biolojia na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mawasiliano ya neva. Mwaka wa 1963, pamoja na John Eccles na Andrew Huxley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alan Hodgkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |