Beida
(Elekezwa kutoka Al Bayda)


Al Bayda au Beida (kwa Kiarabu البيضاء ) ni mji mkubwa wa nne nchini Libya[1][2] na mji mkubwa wa pili katika sehemu ya mashariki baada ya Benghazi. Mwaka 2020 ilikuwa na wakazi 250,000[3].
Historia[hariri | hariri chanzo]
Mji huo ulianzishwa kama mji wa Kigiriki miaka 2000 iliyopita[4].
Jina la kisasa limetokea katika karne ya 19 wakati wa harakati ya Wasenussi waliojenga chuo kikubwa (zawiyya) kwenye mlima juu ya mji; kutokana na rangi yake nyeupe mji wote ulianza kuitwa "Zawiyya al-baida" na hatimaye "Al-Baida" pekee[5].
Ilikuwa makao makuu ya serikali wakati wa Ufalme wa Libya hadi mwaka 1969.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Libya Cyrene to re-enchant (fr). Libération (April 30, 2011). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-05-14. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
- ↑ Libya Russian fears, Drogba & Libyan rebels. ESPNsoccernet (September 10, 2011). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-11-02. Iliwekwa mnamo 2021-12-26.
- ↑ Shahid, Anthony. "Free of Qaddafi, a City Tries to Build a New Order", The New York Times, March 6, 2011.
- ↑ Cyrenaica and the Late Antique Economy Oxford University Computing Services. Retrieved 28 September 2011.
- ↑ Azema, James (2000). Libya Handbook: The Travel Guide. Footprint, 164. ISBN 978-1-900949-77-4.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
media kuhusu El Bayda' pa Wikimedia Commons