Akili
Mandhari
Akili (kwa Kiingereza "intelligence") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.
Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kama sokwe, bonobo, mbwa [1] n.k. na hata mimea [2] [3] huwa na dalili fulani za akili.
Dhana kuhusu asili ya akili zinatofautiana.
Akili bandia ni akili ya mashine inayopatikana kwa kutumia programu za kompyuta.
Marejeo
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- APA Task Force Examines the Knowns and Unknowns of Intelligence - American Psychological Association, Press release
- The cognitive-psychology approach vs. psychometric approach to intelligence Archived 7 Mei 2012 at the Wayback Machine. - American Scientist magazine
- History of Influences in the Development of Intelligence Theory and Testing Archived 11 Novemba 2007 at the Wayback Machine. - Developed by Jonathan Plucker at Indiana University
- [1] Intelligence homepage
- [2] International Society for Intelligence Research homepage
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |