Ajuma Ameh-Otache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ajuma Ameh-Otache
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa1 Desemba 1984 Hariri
Mahali alipozaliwaNigeria Hariri
Tarehe ya kifo10 Novemba 2018 Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoNigeria women's national football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2004 Summer Olympics Hariri

Ajuma Ameh-Otache (1 Desemba 1984 - 10 Novemba 2018) alikua mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria.ambaye amecheza kama kiungo kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria alishiriki katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004. Ajuma Ameh-Otache alicheza katika klabu ya Pelican Stars. Ameh-Otache alifariki mnamo 10 Novemba, 2018 akiwa na umri wa miaka 33 hakuna undani zaidi wa sababu ya kifo chake uliotolewa.[1] [2] [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ajuma Ameh-Otache kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.