Ajali Rashid Akibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ajali Rashid Akibar (amezaliwa 25 Januari 1961) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Newala Vijijini kwa miaka 20152020.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.bunge.go.tz/polis/members/289