Nenda kwa yaliyomo

Aime Kiwakana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aime Kiwakana Kiala Emmanuel Kiala (alifariki mnamo mwaka 1992), alikuwa msanii wa kurekodi muziki wa soukous, mtunzi na mwimbaji, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aliwahi kuwa mshiriki wa bendi ya soukous TPOK Jazz, iliyoongozwa na Franco Luambo, ambayo ilitawala tasnia ya muziki ya Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980.[1]

  1. https://en.wikipedia.org/wi == Marejeo ==ki/Aime_Kiwakana#cite_note-1