Ahmed Kutucu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ahmed Kutucu

Ahmed Kutucu (amezaliwa 1 Machi 2000) ni mchezaji wa soka wa Uturuki ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani. Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya vijana nchini Uturuki.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Kutucu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.