Nenda kwa yaliyomo

Age Ain't Nothing But a Number

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Age Ain't Nothing but a Number
Age Ain't Nothing but a Number Cover
Studio album ya Aaliyah
Imetolewa Juni 13, 1994 (1994-06-13)
Imerekodiwa Septemba 1993 – Mei 1994
Chicago Recording Company
(Chicago, Illinois)
Aina R&B, new jack swing
Urefu 48:54
Lebo Blackground/Jive/BMG Records
01241-41533
Mtayarishaji Barry Hankerson (mtayarishaji mkuu), R. Kelly
Wendo wa albamu za Aaliyah
Age Ain't Nothing But a Number
(1994)
One in a Million
(1996)
Single za kutoka katika albamu ya Age Ain't Nothing But a Number
 1. "Back & Forth"
  Imetolewa: 1 Januari 1994
 2. "At Your Best (You Are Love)"
  Imetolewa: 22 Agosti 1994
 3. "Age Ain't Nothing But a Number"
  Imetolewa: 6 Desemba 1994
 4. "Down with the Clique"
  Imetolewa: 2 Mei 1995
 5. "No One Knows How to Love Me Quite Like You Do"
  Imetolewa: 27 Juni 1995
 6. "The Thing I Like"
  Imetolewa: 3 Agosti 1995


Age Ain't Nothing but a Number ni albamu ya kwanza ya msanii wa rekodi za muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, Aaliyah. Albamu ilitolewa chini ya studio ya Jive na Blackground Records mnamo tar. 13 Juni 1994, huko nchini Marekani. Baada ya kuingia mkataba na mjomba'ke Barry Hankerson, Aaliyah akatambulishwa kwa msanii na mtayarishaji wa rekodi R. Kelly. Akawa mshauri na mtu wake wa karibu, vilevile akiwa kama mtunzi na mtayarishaji mkuu wa albamu hii.

Wawili hao wamerekodi albamu katika Chicago Recording Company huko mjini Chicago, Illinois. Albamu imetoa vibao vikali viwili, ikiwa ni pamoja na kupata chati katika kumi bora kwa kibao cha "Back & Forth" na "At Your Best (You Are Love)"; single zote mbili zilitunukiwa Dhahabu na Recording Industry Association of America (RIAA). Single mbili za ziadi zilifuata: "Age Ain't Nothing But a Number" na "No One Knows How to Love Me Quite Like You Do".

Age Ain't Nothing But a Number imepokea tahakiki za kiupendeleo na haki kutoka kwa watalaamu wa uhakiki. Albamu iliingia nafasi ya 18 kwenye chati za Billboard 200 na kuuza nakala milioni tatu kwa nchini Marekani, ambapo ilipata kutunukiwa platinamu mara mbili na RIAA mnao tar. 24 Oktoba 2001.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimetungwa na R. Kelly, kasoro zile zilizowekewa maelezo.

 1. "Intro" – 1:30
 2. "Throw Your Hands Up" – 3:34
 3. "Back & Forth" – 3:51
 4. "Age Ain't Nothing But a Number" – 4:14
 5. "Down with the Clique" – 3:24
 6. "At Your Best (You Are Love)" (Ernie Isley, Marvin Isley, O'Kelly Isley, Ronald Isley, Chris Jasper) – 4:52
 7. "No One Knows How to Love Me Quite Like You Do" – 4:07
 8. "I'm So into You" – 3:26
 9. "Street Thing" – 4:58
 10. "Young Nation" – 4:41
 11. "Old School" – 3:17
 12. "I'm Down" – 3:16
 13. "The Thing I Like" (UK bonus track) – 3:23[1]
 14. "Back & Forth (Mr. Lee & R. Kelly's Remix)" (bonus track) – 3:43[1]
Chart (1994-2001) Nafasi
iliyoshika
Thibitisho
Canadian Albums Chart Gold[2]
Dutch Albums Chart[3] 44
Japanese Albums Chart[3] Gold[4]
UK Albums Chart[5] 23 Silver[6]
U.S. Billboard 200[7] 18 2× platinum[8]
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[7] 3
U.S. Billboard Top Internet Albums (2001)[9] 13
 1. 1.0 1.1 "Age Ain't Nothing But a Number: Aaliyah". Amazon.com. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2009.
 2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named CRIA
 3. 3.0 3.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Ultratop
 4. http://aaliyahremembered2.homestead.com/files/Japan.pdf
 5. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named UK
 6. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named BPI
 7. 7.0 7.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Billboard charts
 8. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named RIAA
 9. "Aaliyah Album & Song Chart History". All Music. Billboard. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2010.