Mbambakofi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Afzelia)
Mbambakofi | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbambakofi (Afzelia quanzensis)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbambakofi (pia mkambakusi, mkongo, mkola, mkora au mtame) (Afzelia quanzensis) ni mti mwenye mbegu nyeusi na nyekundu au rangi ya machungwa ndani ya maganda meusi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ua
-
Mbegu za mbambakofi wa Afrika ya Magharibi
-
Tumba na mbegu za mbambakofi wa Afrika ya Magharibi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbambakofi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |