Nenda kwa yaliyomo

Adolf Metzner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adolf Metzner (Frankenthal, 25 Aprili 1910 - Hamburg, 5 Machi 1978) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1932 na 1936. Baada ya kumaliza kazi yake kutokana na kupasuka kwa ukano wa Achile akawa seremala katika eneo la Bavaria nchini Ujerumani. Mwaka 1947 alifanya kazi na Ernst Gadermann kukuza vipimo vya kwanza vya telemetric ya ECG katika wanariadha.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adolf Metzner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.