Nenda kwa yaliyomo

Adam Hložek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adam Hložek (alizaliwa 25 Julai 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Czech, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Czech.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. David Čermák (2019-03-11). "Úkaz jménem Hložek. Proč sparťanský teenager boří ligové rekordy?". iDNES.cz (kwa Kicheki). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Hložek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.