Aboccis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aboccis au Abuncis ( kwa Kigiriki Ἀβουγκίς, Abounkis ) ulikuwa ni mji wa Aethiopia uliokua katikati ya Cataract ya Pili na Syene kwenye ukingo wa kushoto wa Mto Nile ulitajwa na Ptolemy, [1] na Pliny . [2]

Ulijulikana sana kwa sababu ya mahekalu mawili ya ajabu ya grotto, ambayo yaligunduliwa mahali hapo na Giovanni Battista Belzoni. Kuta za mahekalu makubwa hayo yamefunikwa na michoro, ambayo iliandika ushindi wa Ramses III juu ya mataifa mbalimbali ya Afrika na Asia. William Smith aligundua mahali hapo pamoja na Abu Simbel .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Geog. 4.7.16.
  2. Nat.