Nenda kwa yaliyomo

Abdoulaye Kamara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdoulaye Kamara (alizaliwa 6 Novemba 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Guinea - A. Kamara - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdoulaye Kamara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.