Nenda kwa yaliyomo

Abdoul Danté

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdoul Danté
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaMali Hariri
Jina katika lugha mamaAbdoul Danté Hariri
Jina la kuzaliwaAbdoul Karim Danté Hariri
Jina halisiAbdoul, Karim Hariri
Tarehe ya kuzaliwa29 Oktoba 1998 Hariri
Mahali alipozaliwaBamako Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoR.S.C. Anderlecht, R.E. Virton, Racing White Daring de Molenbeek 47 Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji47 Hariri

Abdoul Danté (alizaliwa 29 Oktoba 1998) ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye anaheza kama beki wa klabu ya Anderlecht iliyopo nchini Ubelgiji na timu ya taifa ya Mali.

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Dante alianza kucheza katika timu ya taifa ya Mali chini ya miaka 17 mwaka 2015 katika kombe la Tinu za taifa barani Afrika chini ya miaka 17.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdoul Danté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.